• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

DC SEBABILI AREJESHA TABASAMU LA WAKAZI WA KIJIJI CHA MUUNGANO

Posted on: February 10th, 2026


Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mhe. Ayubu Sebabili mapema leo Februari 10, 2026 amerejesha tabasamu la wananchi wa Kijiji cha Muungano kilichopo katika Kata ya Mlingano baada ya Kumpumzisha Mwenyekiti wa Kijiji hicho Mhe. Michael Frank Lupa kufuatia tuhuma mbalimbali zilizotolewa na baadhi ya wananchi wa kijiji hicho dhidi ya kiongozi huyo.

Kauli hiyo ameitoa mbele ya Mkutano Mkuu wa Kijiji uliofanyika katika Kitongoji cha Machema, kijiji cha Muungano kata ya Mlingano'

Mkuu huyo wa Wilaya amesema ameunda Tume ya kuchunguza tuhuma zilizotolewa dhidi ya Mwenyekiti huyo ikiwa ni pamoja na ukataji wa miti ya mivule holela bila kuzingatia kanunni na taratibu za uvunaji wa miti zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria sambamba na ubadhilifu wa mali za umma.

Amesema Tume hiyo itafanya kazi ndani ya siku 30 ikibainika kuwa Mwenyekiti ametenda kosa atachukuliwa hatua stahiki na nafasi yake itatangazwa kwa ajili ya kufanya uchaguzi wa kumchagua mtu atakaeshika nafasi hiyo.

"Nimemsimamisha kazi kupisha uchunguzi hivyo katika kipindi hiki Majukumu yake yatakuwa chini ya Mwenyekiti wa kitongoji cha Mjimwema, na uchunguzi ukikamilika majibu yataletwa kwenye mkutano huu" alisema Mhe Sebabili.

Ameendelea kuwa katika kipindi hiki ambacho Mwenyekiti wa kijiji atakuwa amepumzishwa shughuli zote za kijiji zitasimamiwa na Mwenyekiti wa Kitongoji cha mji mwema Bi. Scholastica ambaye atatekeleza majukumu yote ya kijiji mpaka pale maamuzi mengine yatakapotolewa.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA UCHAGUZI October 06, 2025
  • MAREKEBISHO YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 23, 2025
  • TANGAZO LA WAANDAJI WA MAUDHUI MTANDAONI February 03, 2026
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA September 24, 2025
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • DC SEBABILI AREJESHA TABASAMU LA WAKAZI WA KIJIJI CHA MUUNGANO

    February 10, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA KIASI CHA SHS BIL. 48

    January 23, 2026
  • “KUKOSA SARE ZA SHULE KISIWE KISINGIZIO CHAKUTOKURIPOTI SHULENI”

    January 14, 2026
  • MUHEZA YATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU

    November 21, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari
  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.