• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

Ardhi na Maliasili

1.1 Utangulizi

Idara ya Ardhi na Maliasili ni miongoni mwa Idara na Vitengo muhimu vinavyounda Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. Idara hii inaongozwa na Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili, ambaye pia hufahamika kwa cheo cha Afisa Ardhi na Maliasili Wilaya. Idara hii imegawanyika katika sehemu kuu mbili kiutawala, Sehemu ya Ardhi na Sehemu ya Maliasili.

Sehemu ya Ardhi nayo imegawanyika katika sehemu ndogo zipatazo nne, ambazo ni hizi zifuatazo;

  1. Sehemu ya Utawala na Usimamizi wa Ardhi,
  2. Sehemu ya Upimaji na Ramani,
  3. Sehemu ya Uthamini wa Ardhi na
  4. Sehemu ya Mipango Miji na Vijiji.

Sehemu ya Maliasili nayo pia imegawanyika katika sehemu ndogo zipatazo nne, ambazo ni hizi zifuatazo;

  1. Sehemu ya Uratibu na Usimamizi wa Ufugaji Nyuki
  2. Sehemu ya Uratibu na Usimamizi wa Misitu,
  3. Sehemu ya Uratibu na Usimamizi wa Utalii na
  4. Sehemu ya Uratibu na Usimamizi wa Wanyama Pori.


1.2 MAJUKUMU YA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI

Idara ya Ardhi na Maliasili inatekeleza majukumu makubwa yafuatayo katika shughuli zake za kila siku;

  1. Kuratibu na kusimamia masuala yote yanayohusu ardhi ikiwa ni pamoja na viwanja vya matumizi mbalimbali pamoja na mashamba ya mazao ya aina mbalimbali.
  2. Kuchora ramani na kupima maeneo mablimbali ya ardhi yenye kuhitaji kupimwa kwa ajili ya matumizi ya aina mbalimbali kama vile viwanja na mashamba.
  3. Kufanya uthamini wa ardhi au maendelezo yaliyofanywa kwenye ardhi kwa lengo la kufanikisha malipo ya fidia ya ardhi au ya maendelezo yaliyofanywa kwenye ardhi pale inapotakiwa kufanya hivyo.
  4. Kuratibu na kusimamia mpangilio mzuri wa ujenzi katika maeneo ya mijini na vijijini ili kuhakikisha kuwa ukuaji wa miji na vijiji unazingatia na kuheshimu matakwa ya kisheria, kiafya na kiusalama.
  5. Kuratibu na kusimamia shughuli za Ufugaji Nyuki kwa lengo la kuboresha afya na hali ya kipato cha wananchi kwa ajili ya kuboresha maisha yao ya kila siku.
  6. Kuratibu na kusimamia shughuli za uhifadhi na usimamizi wa mazingira, vyanzo vya maji na misitu, uvunaji na usafirishaji wa mazao ya misitu kwa lengo la kudhibiti uharibifu wa mazingira, vyanzo vya maji na misitu.
  7. Kuratibu na kusimamia shughuli za utalii wa kimazingira katika maeneo mbalimbali yenye vivutio vya kimazingira, kiasili, kiutamaduni, kimila na desturi mbalimbali za wenyeji wa Wilaya ya Muheza.
  8. Kuratibu na kusimamia shughuli za wanyama pori pale wanapojitokeza, hasa wale waharibifu wa mazao ya wakulima mashambani katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Muheza.

1.3 HALI YA WATUMISHI WA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI

Idara ya Ardhi na Maliasili ina jumla ya watumishi nane (8) kwa sasa, Sehemu ya Ardhi ina jumla ya watumishi watano (5) na Sehemu ya Maliasili ina jumla ya watumishi watatu (3).

Tangazo

  • TANGAZO LA KOTESHENI YA UKODISHAJI KIWANDA CHA MATOFALI July 05, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UWAKALA WA UKUSANYAJI WA USHURU WA MAZAO May 24, 2022
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • MUHEZA YAADHIMISHA SIKU YA LISHE

    October 31, 2023
  • VIJANA WATAKIWA KUWA NA UTAYARI WA KUFANYA KAZI.

    February 18, 2023
  • KUELEKEA MAADHIMSHO YA MIAKA 61 YA UHURU WATUMISHI WILAYA YA MUHEZA WAFANYA USAFI

    December 06, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YAKABIDHI CHEREHANI KWA WAJASIRIAMALI

    October 31, 2022
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.