1. Idara ya Elimu Msingi inatoa huduma zifuatazo;
Kupata Mawasiliano ya Wakuu wa Shule zote za msingi Wilaya ya Muheza, Tafadhari pakua hapa Orodha ya Walimu wakuu na mawasiliano yao kwa Shule za Msingi Wilaya ya Muheza.pdf
2. Idara ya Elimu Sekondari inatoa huduma zifuatazo;
2.1 Kuwashauri Wazazi/Walezi kuwa karibu na watoto wao ili waweze kutimiza malengo ya ndoto zao.
2.2 Kuwashauri Wazazi/ Walezi kupata ufahamu kuwa Elimu ndio uridhi pekee na wa kudumu kwa mtoto hivyo mwanafunzi mwenye mwenendo wa utoro anachezea uridhi wake.
Kupata Mawasiliano ya Wakuu wa Shule zote za Sekondari Wilaya ya Muheza, Tafadhari pakua hapa Orodha ya Walimu wakuu na mawasiliano yao kwa Shule za Sekondari Wilaya ya Muheza.pdf
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.